Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Hivi karibuni niliingia kwenye Internet café moja na katika kuchukua vitu vichache, nilijikuta pen drive yangu imeingiliwa na virus kwani niliona dhahiri mafaili ambayo mimi binafsi sikuyacreate, na hata extension yake ilikuwa tofauti kwani mengi yaliyojitokeza yalikuwa na extension ya fileName.exe . Niliporudi "kwa ofisi", niligundua kwamba mafailili yangu ya Word na Excel yalipofunguka, badala ya kuwa na ile content niliyosave, yalikuwa na content hii:
BitDefender iliondoa virus wote lakini ndo hivyo, nimepoteza contents. So nawapa tahadhari na kushare experience iwapo naweza kupata njia humu ya kurudisha mafaili yangu.
Sorry I am really sorry. I don't want to do it again. This is my first and may be the last if you agree to help me.
Do you want to get your files back? That is so easy just do this. I want you to write a mail to
Zlovel_4evr@yahoo.com
stating how much I loved her.
You know… I gave her everything I had, my heart my phase…. all what I can and had but she gave me nothing
except pain. Now she leaves me alone and I am felling now empty inside. I can't to live without her. That is why I
burnt your files. I know may be this file is vital for you as your mail is for me. Be sure I will give your files back with
out any damage. Be sure and trust me.
Take a minute from your busy time and write a nice message to her. Then you will get all your files as befor.
Thank you for your cooperation. And I hope you will give me a pardon for my miss use of knowledge. I did it
because I left with no other option.
BitDefender iliondoa virus wote lakini ndo hivyo, nimepoteza contents. So nawapa tahadhari na kushare experience iwapo naweza kupata njia humu ya kurudisha mafaili yangu.