Agogwe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 2,742 Reaction score 3,000 Mar 23, 2020 #21 nyakandula said: Kama huyo miaka 47 italy kapata corona kwahio huku afrika ni sawa sawa na mtu mwenye miaka 30, corona ipo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Soma vizuri ndugu !!
nyakandula said: Kama huyo miaka 47 italy kapata corona kwahio huku afrika ni sawa sawa na mtu mwenye miaka 30, corona ipo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Soma vizuri ndugu !!
Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,952 Reaction score 7,218 Mar 23, 2020 #22 Apumzike kwa amani... Ameingia kwenye idadi ya kundi la wazee linalopotezwa na CORONA... Ingawa kuna taarifa ya mzee 95yrs amepona. Everyday is Saturday.................... 😎
Apumzike kwa amani... Ameingia kwenye idadi ya kundi la wazee linalopotezwa na CORONA... Ingawa kuna taarifa ya mzee 95yrs amepona. Everyday is Saturday.................... 😎