Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
EMTECH ni product kwa ajili ya kilimo na mifugo iliyogunduliwa nchini Japan. Ikafanyiwa utafiti na maprofesa wa kilimo wenye kampuni inayoitwa EMTECH Foundation Limited yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam.
YAFUATAYO NI MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU HIZO PRODUCTS
EM AX - (Vilivyomo ni Maji, Molasis, Bakteria wa laktiki acid, Magadi na bacteria wa Mwanga.)
Matumizi: Mils 20 Inachanganywa kwenye lita kumi ya maji safi ya bomba, tumia kwenye ndoo ya kumwagilia shamba ama bomba au unaweza kumwaga kwenye mifereji inayoingiza maji shambani. Mchanganyiko huu unaweza kuwapatia mifugo (kuku, bata, ngombe, mbuzi, nguruwe n.k ) kama maji ya kunywa. Inasaidia kuongeza kinga kwa wanyama.
Iko kwenye kipimo cha ½ Lita. Bei tuwasiliane kupitia namba yangu ya mkononi.
EM Ax Bokashi 01 (Vilivyomo: Maranda yaliyosagwa, Maji, Em Ax, Molasis)
Hii ni bidhaa inayotokana na Em Ax 01 ambayo husaidia kuondoa harufu mbaya kwenye mabanda ya kuku, bata, mbuzi, kondoo, farasi, mbwa, kware, nguruw ngombe n.k Faida zake ni kuondoa kabisa harufu mbaya kwenye mabanda, kuua wadudu wanaosababisha magonjwa walioko kwenye malalio ya wanyama.
Matumizi yake: Weka kiasi cha gram 50 kwenye eneo la mita ya mraba 1 kila baada ya siku 3. Harufu ikiisha rudia baada ya wiki mbili mbili. Kila ukifagia mbolea weka baada ya kufagia.
Iko kwenye kipimo cha Kilo moja. Bei tuwasiliane kupitia namba yangu ya mkononi.
Em Bokashi 02 (Vilivyomo: Pumba, mahindi, Mlonge, Maji, Molasis na Em Ax)
Hii ni bidhaa inayotokana na Em 1 ambayo husaidia kuongeza ulishaji wa wanyama kwenye vyakula vya mifugo kama vile kuku, bata, mbuzi, kondoo, farasi, mbwa, kware, nguruwe, ngombe n.k.
Faida zake: Kusaidia kukinga mifugo kutokana na magonjwa ya kuambukizwa na kuongeza ukuaji, utagaji wa kuku wa mayai na kuongeza maziwa kwenye mbuzi na ngombe.
Matumizi: Changanya Kilo moja ya mchanganyiko huu kwenye kilo mia za chakula.

Dawa ya Usafi ya EM Ax ni kwa ajili ya kazi zifuatazo:-
Binafsi nazitumia kwenye ufugaji wa kuku na bustani, nimeona matunda yake na ndo maana nikaona niwataarifu. Kwa Dar es salamu zinapatikana kwani ndiyo makao makuu ya EMTECH Foundation Limited.
Kwa Mwanza / Kanda ya ziwa wasambazaji ni J & B Enterprises
Mawasiliano 0754-533543 / 0655 533543
E-mail: jnb14enterprises@gmail.com.
Napatikana jijini Mwanza Green Hope (Kituo cha Ushauri kwa vijana)
Ni karibu na Mkuu wa Wilaya Nyamagana au Dispensari ya Huduma mashuleni.
MNAKARIBISHWA MPATE ELIMU YA NAMNA YA KUTUMIA PRODUCT ZA EMTECH.
Mwenye swali anakaribishwa.

- Kutengenezea funza kwa ajili ya kulisha mifugo
- Kutengenezea mbolea kwa ajili ya kilimo.
- Kudekia kwenye vyoo vyenye harufu ili harufu mbaya iishe kabisa.