Visa 59 vya CoronaVirus vyaongezeka, idadi ya maambukizi hivi sasa ni 2,021

Visa 59 vya CoronaVirus vyaongezeka, idadi ya maambukizi hivi sasa ni 2,021

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya imetangaza ongezeko la visa vipya 59 vya COVID-19 baada ya sampuli 1,518 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na jumla ya maambukizi nchini Kenya imefikia 2,021

Katika visa vilivyotangazwa leo, wagonjwa wana umri kati ya miaka 10-76 huku 24 wakiwa Wanawake na 35 wakiwa Wanaume. Visa vimetokea Nairobi (29), Mombasa (14), Turkana (6), Busia (4), Taita Taveta (2), Kajiado (2), Kiambu (1) na Kilifi (1)

Wagonjwa nane wameruhusiwa kutoka Hospitali na idadi ya waliopona ni 482. Wakati huo huo, wagonjwa watano wamefariki dunia na vifo vilivyoripotiwa hadi sasa ni 69

====

Coronavirus cases in Kenya have crossed the 2000-mark after 59 more people tested positive.

Total number of cases in the country now stands at 2,021

A statement from Health CS Mutahi Kagwe said the new cases are from 1,518 samples that were tested in the last 24 hours

Total samples tested since March 13 when the first case was reported in Kenya is 80,054

The new cases are from Nairobi 29, Mombasa 14, Turkana 6, Busia 4, Taita Taveta 2, Kajiado 2 while Kiambu and Kilifi have one patient each.

Nairobi’s cases are in Ruaraka 8 (all from mandatory quarantine); Westlands 6; Dagoretti North 4; Lang’ata 4; Kibra 3; while Embakasi East, Kasarani Kamukunji and Makadara have one each

In Mombasa the cases are distributed in the following areas: Mvita 6, Kisauni 2, Nyali 2, Jomvu 2, Chamgamwe 2.

The cases from Busia are from Malaba border 3 and Alupe quarantine facility 1.

Taita Taveta cases are from Mwatate while the patients in Kajiado County are from Kajiado East.

The Kiambu patient is from Thika and the Kilifi case is from Rabai.

Age range is from 10-76 years.

Eight patients have been discharged within the last 24 hours bringing the total number of recoveries to 486.

5 people have succumbed to the COVID-19 disease raising the death toll to 69.

CITIZEN TV
 
Hii sasa ni hali ya hatari huko Kenya...hivi tattoo halwa ni nini, kwani mnashindwa kunawa mikono na kujikinga?
 
Sisi nchi nzima ina wagonjwa wanne tu kwa pamoja![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom