Visa aplication proccess

Visa aplication proccess

Bisura

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
12
Reaction score
4
Mimi habari za saa hii!

Hope mko poa.

Nataka kuattend a certain conference in us, via a company.
Je ni documents gani muhimu zinahitajika,na ni vitu gani nitimize ili niweze pata visa?
Na visa fees ni kiasi gani.(sijawahi enda us before,)

please ideas nifanye vipi ili niwe na uhakika wa kupata visa.

Asante
 
Rahisi sana wasiliana na waandaaji wa conference hiyo ili wawe sponsor wako hiyo ndiyo njia rahisi sana ambayo haikataliwi kwa urahisi...nilimwalika dada yangu kuja kutembea nilichoombwa ni copy ya passport yangu na visa yangu ya makazi yaani residential visa ndani ya siku chache visa ikatoka..umepata chuo basi hicho chuo kitakuwa sponsor wa visa yako umepata timu ya kwenda kucheza mpira hiyo timu itakuwa sponsor wako umepata kazi kampuni itakuwa sponsor wako...unakwenda holiday kupumzika bank statement itakuwa sponsor wako....kwa issue yako waandaaji wa tamasha watakuwa sponsor wako hiyo moja...pili wanawezaandika barua ya mwaliko kama mr so n so is invited to attend....ambayo utaambatanisha na passport kopi yako pindi unapoomba visa...kwa maelezo zaidi karibu 00971504374387
 
THANK U lucky sabasaba, IM TRYING TO CALL UR NUMBER BUT ITS NOT VALID,TRIED IT WITH S CODE BUT SAMETHING:confused2:
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa anaitwa le mutuz ... anakutafutia viza na kazi kabisa huko US
 
kuna jamaa anaitwa le mutuz ... anakutafutia viza na kazi kabisa huko US

Hahaa!no im sory kwanza sihitaji kuishi huko,jus attending confernce kuangaza macho na kurudi kwangu.
 
Mkubwa kama sponsor ni mwajiri wako siungeenda tu usa embassy ili ujue zaidi?

Na lucky sabasaba mbona kaelezea vizuri sana hapo juu!au mi ndo sielewi.

ok,actually my company ndo sponsors wangu. je me personally nahitajika nini na nini
 
Wewe ni pasport tu hakuna kingine....company yako haiwezi kuwa sponsor wako watachofanya ni kukuunganisha wewe na waandaaji ambao ndio watakuwa sponsor wako hiyo ni moja pili wanawezakukusaidia kama pindi utakapotoroka ukiwa usa kampani yako itaelezea yaani kama unapopata kesi yule mtu anayetakiwakukuwekea dhamana...ndio maana watu wanapenda sana kuwa na passport ya usa au eu maana yake ni kuwa wanawezakwenda nchi nyingi sana duniani bila kuomba visa...visa unagongewa pindi unapofika airport ya nchi unayokwenda...lakini hizi passport zetu hazina nguvu hizo...
 
Kuna aina mbalimbali za visa...ya kwenda kutembea yaani visit visa ambayo ni ya mda mfupi max miezi 3.. kuna employment visa ambayo ni ya miaka 3 na unai renew pindi mda huo unapokwisha...kuna residential visa yaani visa ya makazi kama niliyonayo mimi...hiyo unayoitaka wewe ni rahisi sana kuipata na gharama zake ni ndogo sana..ukiwa na details zote za hiyo conference toka usa na kampuni yako ya tz ikithibitisha unakwenda kwa ajiri hiyo watakupatia tu....good lucky
 
Ohh...asante sana ndugu! mengine ntakupm ama call,please usinichoke eh:smiling::smiling:
 
unatakiwa ue na Barua\uthbtsho toka kwa mwajiriwa au toka kwa hao wanaokuita USA,cha muhmu sana udhihrshe dat u must return bak.! Nwdays mda ni miez 9..
 
unatakiwa ue na Barua\uthbtsho toka kwa mwajiriwa au toka kwa hao wanaokuita USA,cha muhmu sana udhihirshe dat u must return bak.! Nwdays mda ni miez 9..
MFYU, mi niulize hapo,what if a person anachukua less than mentioned muda wakuishihuko/na ni uthibitisho gani hasa awe nao ambao utakaowaconvice kuwa huyu mtu atarudi?😕😕
 
Last edited by a moderator:
[/B] MFYU, mi niulize hapo,what if a person anachukua less than mentioned muda wakuishihuko/na ni uthibitisho gani hasa awe nao ambao utakaowaconvice kuwa huyu mtu atarudi?😕😕

oh! Sawa,anythn ,barua ya alokuita,kama mktano wa buznes unid to submit invitatn leta...etc..cuz nazungumza 4m experience...bila barua,au anythng..enhee mfano kama uku una job yako,mwajir wako andike leta that we bdo ni mwajiriwa wake na unategemea kurudi bak cuz bdo anaktegemea,!
Cuz pale dirishan C.O wa embassy atakubana kwa ilo..

Kama mda ukikaa mfupi ts ok,cuz 1nc US visa ikiwa attachd kwa ur paspot inamana we huna haja tena ya kueka apointment kwenda embasy kupata mpya..unles ka una renew..(so ndan ya 9 manthes,we na tiket yako ya ndege tu..)
nadhan mekujibu,ama?
 
Last edited by a moderator:
Mimi habari za saa hii!

Hope mko poa.

Nataka kuattend a certain conference in us, via a company.
Je ni documents gani muhimu zinahitajika,na ni vitu gani nitimize ili niweze pata visa?
Na visa fees ni kiasi gani.(sijawahi enda us before,)

please ideas nifanye vipi ili niwe na uhakika wa kupata visa.

Asante

..Visa fee chek web yao! Bt mwaka jana ilikua $127 fo Non-Immigrants visas..
 
Back
Top Bottom