Rahisi sana wasiliana na waandaaji wa conference hiyo ili wawe sponsor wako hiyo ndiyo njia rahisi sana ambayo haikataliwi kwa urahisi...nilimwalika dada yangu kuja kutembea nilichoombwa ni copy ya passport yangu na visa yangu ya makazi yaani residential visa ndani ya siku chache visa ikatoka..umepata chuo basi hicho chuo kitakuwa sponsor wa visa yako umepata timu ya kwenda kucheza mpira hiyo timu itakuwa sponsor wako umepata kazi kampuni itakuwa sponsor wako...unakwenda holiday kupumzika bank statement itakuwa sponsor wako....kwa issue yako waandaaji wa tamasha watakuwa sponsor wako hiyo moja...pili wanawezaandika barua ya mwaliko kama mr so n so is invited to attend....ambayo utaambatanisha na passport kopi yako pindi unapoomba visa...kwa maelezo zaidi karibu 00971504374387
kuna jamaa anaitwa le mutuz ... anakutafutia viza na kazi kabisa huko US
ok,actually my company ndo sponsors wangu. je me personally nahitajika nini na niniIkikataa hizo sifuri mbili ebu jaribu kuweka plus 00971504374387
ok,actually my company ndo sponsors wangu. je me personally nahitajika nini na nini
kuna jamaa anaitwa le mutuz ... anakutafutia viza na kazi kabisa huko US
Ohh...asante sana ndugu! mengine ntakupm ama call,please usinichoke eh:smiling::smiling:Kuna aina mbalimbali za visa...ya kwenda kutembea yaani visit visa ambayo ni ya mda mfupi max miezi 3.. kuna employment visa ambayo ni ya miaka 3 na unai renew pindi mda huo unapokwisha...kuna residential visa yaani visa ya makazi kama niliyonayo mimi...hiyo unayoitaka wewe ni rahisi sana kuipata na gharama zake ni ndogo sana..ukiwa na details zote za hiyo conference toka usa na kampuni yako ya tz ikithibitisha unakwenda kwa ajiri hiyo watakupatia tu....good lucky
MFYU, mi niulize hapo,what if a person anachukua less than mentioned muda wakuishihuko/na ni uthibitisho gani hasa awe nao ambao utakaowaconvice kuwa huyu mtu atarudi?ππunatakiwa ue na Barua\uthbtsho toka kwa mwajiriwa au toka kwa hao wanaokuita USA,cha muhmu sana udhihirshe dat u must return bak.! Nwdays mda ni miez 9..
[/B] MFYU, mi niulize hapo,what if a person anachukua less than mentioned muda wakuishihuko/na ni uthibitisho gani hasa awe nao ambao utakaowaconvice kuwa huyu mtu atarudi?ππ
Mimi habari za saa hii!
Hope mko poa.
Nataka kuattend a certain conference in us, via a company.
Je ni documents gani muhimu zinahitajika,na ni vitu gani nitimize ili niweze pata visa?
Na visa fees ni kiasi gani.(sijawahi enda us before,)
please ideas nifanye vipi ili niwe na uhakika wa kupata visa.
Asante
kuna jamaa anaitwa le mutuz ... anakutafutia viza na kazi kabisa huko US