Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Yaani hapo upo single halafu wapangaji wengine waliobaki wameoa.
Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?
Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?