Visa na mikasa kwenye nyumba za kupanga

Ana uza au?
Hadi amekusanya akafua zote hivo
Zikiwa chafu huwa anaweka wapi??
Au anatupia uvunguni??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamani si anakuwa na dustbin la kutupia nguo chafu?

Wengine huvaa na kurundika hadi mwezi na anakuja kufua mara moja kwa mkupuo.

Nimekushangaa kwa kushangaa mtu kufanya usafi wa kufua nguo zake za ndani kwa idadi ya doz 1!

Wewe usafi wako unaufanyaje mheshimiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…