Visa na Mikasa ya Ethiopian Airlines - Waafrika Kulikoni?

10.ona ya kina lema na wizi wa magari

11.ona ya kina lisu ya udalali wa madini Mzee wa miga

12.ona ya kina mbowe na ugaidi

13.ona ya chadema kuuza fomu ya mgombea uraisi kwa ticket ya CDM kwa mwana CCM (lowasa)

1. Lema alimwibia nani gari?
2. Lissu?


Huyo siyo size yako.

3. Mbowe? Waulize Sirro, Kingai, Mahita, Kaaya au hata Luvanda, Siyani, Tiganga nk. Wote wanataabika tu kwenye hizo kesi na hukumu za kubambika.

Mnyonge mnyongeni chuki binafsi tupa kule:



4. Chadema? Kwanini CCM wanahaha sasa na umoja party? Kwani huyu si wamemruka kimanga?

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.


Nani wangali naye? Ni Mwambe au Majaliwa?



 
Hiyo list ni ya rational thinkers kwa hakika huwezi kuonyesha popote ilipowahi kupiga fyongo. Waone wenzio hapa:

View attachment 2016660

Au nasema uongo ndugu zangu?
Ila huyu Mh.au ndio siasa?jamani seriously??alishawahi kusema kwa hiyo watu mnataka kumwona raisi magomeni,au kariakoo anatembea??raisi ni mzima anawasalimia na anachapa kazi.Kumbe muda haukuwa upande wake.
 
Ila huyu Mh.au ndio siasa?jamani seriously??alishawahi kusema kwa hiyo watu mnataka kumwona raisi magomeni,au kariakoo anatembea??raisi ni mzima anawasalimia na anachapa kazi.Kumbe muda haukuwa upande wake.

Matatizo ya kufikiri kwa kutumia tumbo zaidi.

Kiungwana kwa ule uongo wake huo wa wazi kabisa angekuwa alijiuzuru japo akasema alidanganywa.

Sasa angalipo anamtumikia nani?

Ibambasi, Helikopta na binamu zenu hatuwaelewi mjue?
 

Akudanganye wewe ili apate nini? Hivi umekuwa na maneno yoyote kuwahusu hawa ewe mng'amua waongo?





Si mbaya kutambua kuwa huu uzi hauna cha kufanya na ATCL.

Huu uzi una yote ya kufanya ni miafrika kama race nikiwamo mimi, wewe, Majaliwa na wabambikaji kesi wote, bila kujali vyeo vyao.

Habari ndiyo hiyo.
 
Umelewa au?soma ulichoandika na nilichoandika kisha urudi hapa.
Nyie ni wachafu tu hiyo inafahamika.
KA mpk wanapata mkataba Amsterdam ilikuaje?walikua wanajielewa ingawa hata ndege zao EU haziendi.
Mzingatie hygien,ntajuaje km abiria siku hiyo nao waliumwa?
Nazungumzia kilichonipata,inawezeksna muhudumu aliyenihudumia alikua anahara diarhoia hajaangaliwa afya yake kaenda kuhudumu watu ndani ya ndege.
Mnakula ma injera mle ndani kama mmelogwa kisa ndege ya taifa hii.
Tulikua tunapanda kwa ajili ya kilo tu mtu ubebe mpaka kitanda twende.
Ila toka lile tumbo siku ile sipandi tena.
Acha nife maskini ntapanda ndege zinazoeleweka
Potelea karibu gharama.
 
ATCL imetajwa wapi kwenye safari 6 nilizowahi kutumia ndege yenu?
ATCL hata haikuwepo,hakuna kampeni hapa ila hilo shirika ni takataka.
 
Mizigo ya watu kuchelewa au hata kupotea kabisa kwenye ndege za hawa jamaa ni mambo ya kawaida sana. Kweli Waafrika bado tuna safari ndeefu sana kuelekea kwenye ufanisi wa kweli wa mambo yetu
Hii ilikuwa ni moja kati ya airlines bora kabisa Afrika kwenye miaka ya themanini na tisini. Sijui wamefikwa na nini leo hii, kweli kwa Afrika uzee ndiyo unakuwa shida badala ya kuwa busara.
 
Siyo utani, huyo alikuwa ni rubani mwenye uzoefu mkubwa sana, na uwezekano mkubwa ni mwanajeshi.
 
Hii ilikuwa ni moja kati ya airlines bora kabisa Afrika kwenye miaka ya themanini na tisini. Sijui wamefikwa na nini leo hii, kweli kwa Afrika uzee ndiyo unakuwa shida badala ya kuwa busara.

Yawezekana ilikuwa jina tu. Pana haja ya kuipitia safety record yao yote.
 
Soma comments kwenye hii habari chini. Ni jambo ambalo linaelezeka/eleweka kwa marubani wabobezi.

 
Hiyo nadhani ilikua emergency landing! Mpongeze pilot aliye tua ndege hapo kwa kuokoa maisha ya watu
 
Huu ni Wenda wazimu wenyewe.

Pale Addis wamesha angusha chapa Max 2 mpya. Yawezekana wala si makosa ya mtengenezaji.

Ni siri iliyo wazi - hawafai.

Sahihisho:

Kilichotokea Arusha. Siku Ethiopian (B767) inawasili KIA, kuna ndege ndogo ilipata breakdown mwanzoni mwa runway. Control tower ya KIA wakamuelekeza pilot wa Ethiopian afanye emergency landing kwenye uwanja mdogo wa Arusha. Pilot akaishusha B767 Arusha na kumaliza runway yote tairi la mbele likaishia kwenye mchanga. Siku ya kuichukua wakaja na wakaguzi, mafundi na mapilot nguli wao. Wakapunguza baadhi ya fixtures kupunguza uzito na kufanikiwa kuirusha toka pale.

Ajali ya Ethiopian B737 Max 8 ni habari ya kimataifa iliyotikisa na kuleta mabadiliko makubwa huko Boeing na FAA. Haihitaji maelezo zaidi kwa mtu anayefuatilia international affairs.

Certainly Ethiopian haijafikia viwango vya Emirates, Qatar, Etihad, BA, na mashirika kadhaa ya nchi tajiri. LAKINI sio shirika la ovyo kiasi hicho ulichoelezea hapa. Kwa Waafrika tena nchi masikini kiasi kile, wanajitahidi sana.

Flight incidents na accidents ulizoeleza hapa hutokea mara kwa mara duniani kote na zinakuwa noted. Tatizo la crosswinds, maelekezo mabaya ya atc, poor visibility, defective instruments, ni common occurrences. Ukiweza kupitia accident records zinazotunzwa na CAAs, FAA, ICAO, IATA n.k. utaelewa.
 

Ninaifahamu vyema incident hiyo ya KIA, Arusha na hatimaye nje ya Arusha.

Ninazifahamu vyema incidents za chapa Max 8 za Addis.

Ninayafahamu mapungufu ya Ethiopian airlines na hata points of strength zao kama zilivyo airlines nyingine.

Ila mkuu kwa habari hii iliyokuja kwenye ufahamu wangu jana:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing



Give me a break. Usafiri wa anga na maisha ya watu si wa kufanyia mzaha hivi.

Wewe unaona hiyo ni sawa sawa?

Kama hao ni sawa:





Kwa hakika hata hawa wanaona ni sawa ndiyo maana wangali ofisini.

Kazi inaendelea kana kwamba hakuna lilitokea.
 
nilitegemea comment hii kutoka kwa m-bongo

Hicho ni kitu kizito utosini.

Nisiache "kuchema" ungekuwa umewatendea haki zaidi wabongo wa maana ambao wangalipo kwa kubadili pale:

"M-bongo" --> "mawazo duni kabisa"

Hiiiiii bagosha!
 

Zisome vizuri comments zote. Usisahau hata ya Magonjwa Mtambuka nayo inaweza kuwemo humo 😁😁.

Haya ni maajabu ya Mussa yanayoweza kutokea Afrika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…