Visa na mkasa vya wavuta bange wa zamani; ni dhahiri bangi ya siku hizi haina madhara

Jamaa mwingine kapiga ganja yake imekolea kaenda kwenye sherehe amekaa anamuuliza rafiki yake "aisee hivi mwili wa marehemu unaletwa saa ngapi"

(Kutoka whatsap group [emoji3])

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoja kaivuta imekolea kumkichwa anamtambulisha mamake mzazi kwa washkaji zake, ".. aisee masela hii ni Manzi ya mshua, na mshua anawivu kisenge, msije mkaimendea ...."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi enzi za mashamba ya wazungu wa huko katesh kulikuwa na Tiles kweli au matango pori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…