TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hujawahi kusikia zamani wafalme walizikwa na making zao + watu wa kuwalinda...unaambiwa watu walikuwa wanagombania kwende kuzikwa na mfalmeHadi makaburini nako kuna classes? Sikuwahi kujua, kumbe tabu iko pale pale
Shemela, kwani ushajua class yako ya makaburini?Hadi makaburini nako kuna classes? Sikuwahi kujua, kumbe tabu iko pale pale
Kuna classes pia pale mbele kuna bei yake kati na mwisho kabisa ndio kajamba naniHadi makaburini nako kuna classes??? Sikuwahi kujua, kumbe tabumbe iko pale pale
Mkuu acha uongo bana yaani mtu ameshakufa , kisha akagombanie kuzikwa kwa mfalme tena, kwel tena na hiki ni kituko cha msibani aisee , hebu nieleze anaanzaje anzaje kwenda kugombania kuzikwa pahala alipozikwa mfalme , huku yeye ameshakufahujawahi kusikia zamani wafalme walizikwa na making zao + watu wa kuwalinda...unaambiwa watu walikuwa wanagombania kwende kuzikwa na mfalme
Ninakaa kwa Mtogole hapa Tandale. Umeupiga mwingi sana hapa na hii stori mama.Kule kwetu alifariki mama mmoja, alikua anazo anazo. Miradi yake ilikua ni pamoja na guest house ya vyumba 25, kuku 600 wa nyama na mayai pamoja na ng’ombe...
Mpaka nimeutoa nje😂😂😂Ninakaa kwa Mtogole hapa Tandale. Umeupiga mwingi sana hapa na hii stori mama.
Wewe ndio hujaelewa. Rudia kusomaMkuu acha uongo bana yaani mtu ameshakufa , kisha akagombanie kuzikwa kwa mfalme tena , kwel tena na hiki ni kituko cha msibani aisee , hebu nieleze anaanzaje anzaje kwenda kugombania kuzikwa pahala alipozikwa mfalme , huku yeye ameshakufa
Daaah inabidi nipambane walau nikazikwe class A, uhai wangu wote nipo class Z hadi nikifa!!! HaiwezekaniKuna classes pia pale mbele kuna bei yake kati na mwisho kabisa ndio kajamba nani
Ndio nimejua sahivi, nitapambbana niwe class AShemela, kwani ushajua class yako ya makaburini?