Nadhani ukizikwa Class A, wewe ni moja kwa moja mbinguni kumsaidia mwendazake kuongoza malaika.Hadi makaburini nako kuna classes? Sikuwahi kujua, kumbe tabu iko pale pale
Tunaweza pata hela halafu washeenzzz wakatukwamisha kwenda mbinguni kwa kutuzika daraja la mwisho....Nadhani ukizikwa Class A, wewe ni moja kwa moja mbinguni kumsaidia mwendazake kuongoza malaika.
Tutafute hela mpenzi twende mbinguni...
Sasa hapo ndipo tutalazimika kununua kiploti chetu kabisa. Tunachinba kaburi, tunajengea tiles tunakunywa sumu tunafariki, tunazikwa tunaenda kumsaidia Mwendazake kuokota sadaka za malaika...Tunaweza pata hela halafu washeenzzz wakatukwamisha kwenda mbinguni kwa kutuzika daraja la mwisho....
Daah ana moyo saaaaaana kupita hukoSi unajua jamaa alikua anamla kisa ni wa ni undugu wa mbali mbali ule
Ntakulipia usiwazeDaaah inabidi nipambane walau nikazikwe class A, uhai wangu wote nipo class Z hadi nikifa!!! Haiwezekani
@Sky Eclat nilimwambia aliupiga mwingi sana Mtogole yote naijua shuka hadi hapo Chama kwa Mkunduge yote shuka Yemen hadi kwa Tumbo hamna nyumba inafuga kuku wanaweza fika hata 50. Japo mitaa yote hii sasa hivi wananunua na yanajengwa majengo ya maana miaka ijayo hata Sinza haitaona ndani.Mh!, kwa mtogole anapata wapi eneo la kufuga kuku 600 na ng'ombe?.
Embu Rudia kuandika kwanza uweke vizuri uongo wako.
Mkuu punguza tumbo!Nina kawaida nikifika msibani naenda moja kwa moja wanakopika nikikuta hakueleweki nasepa..
Ahsante sana, ishu watanipeleka sasa huko class A? Au ndio watanibwaga tu popoteNtakulipia usiwaze
Ntasimamia utapelekwa iyo class AAhsante sana, ishu watanipeleka sasa huko class A? Au ndio watanibwaga tu popote
Hizo mbwembwe utazani kuna siku atafufuka….Hahah haswaa!!
Ndio unakuta kaburi imewekewa hadi kijumba na kimebauliwa kabisa marehemu asiloe maji...
Ukienda k'ndoni utapata ona hizo mbwembwe
Mm ningenyooka nae hadi kwa waliochanga... Yaani ningemdhalilisha kama manara kwa BarbraMie nilipofiwa mwanangu, kuna dada alikuwa anachangisha rambirambi kwenye Group fulani. Basi mwisho wa siku akaniletea hizo rambirambi… Baadaye akanambia kuna mtu alichelewa kucjanga kanitumia Tshs. 20,000/- nitakutumia. Mpaka leo hakuzituma, kila nilipokuwa namkumbusha ananambia naweka naweka mpesa ni mwaka sasa… mmmh!!!
Kuna watu wameshindikana aisee yani mtu anapiga hadi rambirambi🙄Mie nilipofiwa mwanangu, kuna dada alikuwa anachangisha rambirambi kwenye Group fulani. Basi mwisho wa siku akaniletea hizo rambirambi… Baadaye akanambia kuna mtu alichelewa kucjanga kanitumia Tshs. 20,000/- nitakutumia. Mpaka leo hakuzituma, kila nilipokuwa namkumbusha ananambia naweka naweka mpesa ni mwaka sasa… mmmh!!!