Visa vilivyowahi kunitokea maishani

I love you.

Yani mambo uliyoyaeleza ndio maisha halisi ya tunavyoishi wengi wetu na ndio mambo mengi yanatokeaga.
Nilichokupendea ni kuwa wewe unaineka upo real. No fake.
Wengi wanapenda kudanganywa.Kwakweli nimependa yuko real hajifichifichi.Ukiangalia wanaomponda inawezekana km zimesoma zaidi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Number 4 [emoji23][emoji97]
 
Umemsomesha mtu kuanzia la nne mpaka chuo na anajitegemea??okay inshort ni kwamba ushazeeka na ukazaji haujakusaidia,wafundishe vijana wa kike kiwa ukazaji usio na mpango siyo lazima!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera ujasiri wa kufunguka..
Watu humu wakiona mwanamke kafunguka maneno yanawatoka.
 
Yani point namba nne imeniacha hoi

Asa kwanini aliingiza akatoa akaaga kwenda kula hakurudi?ama ndio zile kashfa zao za pussy kunuka?
Hili swali bora umeuliza msichana mwenzie
 
I wish namm nile hizo raha naww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini mmefocus na umri wake kuwa mkubwa,baadhi ya wanaume kwani mna matatizo gani sio kila mtu anataka ndoa kutokana na sababu mbalimbali (afu wengine mnatamka maneno ya fedheha wakati hamjui dada,mamdogo na shangazi zenu wanaishi aina hii hii ya maisha).Wengine wanafurahia maisha yao jamani waacheni hayo ni machaguo yake,yeye kaomba mlete visa na si kumjadili yeye.
Please mkuwe watu wazima na wenye hekima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…