#COVID19 Visa vya Corona nchini Uganda vyafikia 705, wagonjwa 299 wamepona

#COVID19 Visa vya Corona nchini Uganda vyafikia 705, wagonjwa 299 wamepona

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya vya #COVID19 na maambukizi yamefikia 705 huku idadi ya waliopona ikiwa 299

Katika visa hivyo, watano aliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari wamethibitishwa na wanne ni madereva wa malori waliotokea Sudani Kusini (2) na Kenya (2)

Aidha, madreva 37 waliokutwa na #CoronaVirus wamerudishwa nchini kwao. Kati yao 32 ni Wakenya, 3 ni wametokea Sudani Kusini, 1 ni raia wa Eritrea na mmoja ni Mtanzania

Wizara pia imezungumzia kuhusu dereva raia wa Kenya aliyekutwa amefariki Jumamosi iliyopita (13 Juni 2020) ndani ya lori wilayani Busia. Marehemu alipimwa na majibu yameonesha hana COVID19

Wizara ya Afya imeendelea kusisitiza kuwa #Uganda haijarekodi kifo cha Corona hadi sasa

1592212263667.png
 
Back
Top Bottom