beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 11 baada ya kupima sampuli 2,575 na jumla ya walioambukizwa Virusi hivyo nchini humo imefikia 2,040
Aidha, nchi hiyo pia imewarudisha madereva wa malori 27 ambapo kati yao 23 ni Wakenya, 2 wametokea Congo na 2 ni raia wa Tanzania baada ya vipimo kuonyesha wana maambukizi ya CoronaVirus
Tangu kuanza kwa mlipuko wa Corona, Uganda imepina sampuli 230,680 na wagonjwa walipona hadi sasa ni 984