#COVID19 Visa vya Corona vyaongezeka hadi 557, visa vipya 35 vyatangazwa

#COVID19 Visa vya Corona vyaongezeka hadi 557, visa vipya 35 vyatangazwa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya imesema visa vipya 35 vimethibitishwa nchini humo baada ya sampuli 2,267 kufanyiwa vipimo. Kati ya sampuli hizo 1,412 ni kutoka mipakani na 855 ni za wananchi wa kawaida

Vilevile, madereva 31 kutoka Kenya-18, Tanzania-7, DR Congo-4 na Burundi-2 wamerudishwa nchini kwao baada ya kukutwa na maambukizi

Wagonjwa 82 wa #COVID19 wamepona nchini humo na hakuna kilichorekodiwa hadi sasa

=====

1591350663388.png
 
Pole yao sis huku tulishamuaga mwali wetu akaenda kwa amani
Hao madereva 7 wanarudishwa nchini. Tokea hii wiki ianzeze, madereva wanaorudishwa Tanzania ni kama makumi fulani hivi. Ngoja niishie hapa.
 
Corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
USIPATE TABU SANA.
Hao madereva 7 wanarudishwa nchini. Tokea hii wiki ianzeze, madereva wanaorudishwa Tanzania ni kama makumi fulani hivi. Ngoja niishie hapa.
 
Bila shaka. Angalia Tanzania watu tunavyoishi.
Nani anajali kuna corona? Sababu tumeamua kuondoa HOFU na kuishi maisha yetu.
Na wakirudishwa tunachangamana nao kama kawaida, huu ugonjwa ukiuogopa ndo unakuua.
 
Huu mchezo hadi waujue, waganda na hata wanyarwanda na wakenya watakuwa wameumia vibaya mno.Mwaka kesho uganda & kenya kuna uchaguzi mkuu,hii yawezekana ikawa janjajanja tu ya kuahirisha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom