#COVID19 Visa vya Coronavirus vyafikia 89 baada ya dereva mwingine kukutwa na maambukizi

#COVID19 Visa vya Coronavirus vyafikia 89 baada ya dereva mwingine kukutwa na maambukizi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya ya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa COVID19 nchini humo na idadi ya visa imefikia 89. Mgonjwa mpya ni dereva, raia wa Kenya aliyegundulika baada ya sampuli 2,729 za madereva malori kufanyiwa vipimo.

Aidha, Wizara hiyo pia imeeleza kuwa madereva wawili wa malori kutoka Kenya na Rwanda waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya Coronavirus Jumamosi wamerejea nchini kwao.

Agizo la kutotoka nje kwa siku 21 litafikia tamati kesho na Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kuhutubia taifa na kutoa muongozo jioni ya leo.

========

The Ministry of Health on Sunday registered one new Covid-19 case bringing the total number of confirmed cases to 89.

The new case is a 39-year-old Kenyan driver who arrived in the country through Malaba. The case was confirmed out of the 2729 samples of truck drivers. Efforts to track him are underway.

However, more 201 samples from the community all tested negative for Covid-19.

Meanwhile the ministry has also revealed that the community case confirmed on Saturday from Rakai district has been evacuated to Masaka Regional Referral Hospital and his family members are all under quarantine.

Also, both the Kenyan and Burundian truck drivers who tested positive on Saturday have since returned to their respective countries.

Meanwhile as the additional 21-day lockdown nears its expiration on Tuesday, President Museveni is expected to address the nation this evening to give guidance on the way forward.


Source: Daily Monitor
 
Back
Top Bottom