#COVID19 Visa vya COVID-19 vyafikia 457, Watanzania 11 ni miongoni mwa madereva wa malori waliokutwa na maambukizi

#COVID19 Visa vya COVID-19 vyafikia 457, Watanzania 11 ni miongoni mwa madereva wa malori waliokutwa na maambukizi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wizara ya Afya yarekodi visa vipya 40 vya COVID19 nchini humo na idadi ya maambukizi hadi sasa ni 457, Wagonjwa wapya wote ni raia wa Uganda.

23 kati yao ni madereva wa malori waliotokea Sudan Kusini (20), Tanzania (2), na mmoja aliyeingia nchini humo kupitia mpaka wa Padea. Aidha, 17 waliosalia ni watu waliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari wamethibitishwa.

Wizara pia imesema madereva 31 ambao ni Wakenya-19, Watanzania-11 na mmoja kutoka Eritrea walikutwa na maambukizi ya CoronaVirus na kurudishwa katika nchi zao.

1591072084577.png
 
WATANZANIA WAKIENDA NCHI JIRANI WANAKUWA POSITIVE ,WAKIWA TZ NEGATIVE HOW COMES?
 
Back
Top Bottom