Visa vya COVID19 vyafikia 1,161. Waziri asema Kenya haitaagiza PPE nje na zitatengezwa nchini humo

Nimekuuliza hapo mtaani kwako au kijijini au ofisini kwako kuna vifo vyovyote ambavyo vimetokea?, kama hakuna vipi unataka kuhisi kwa wengine vipo?. Ugonjwa kama huu jinsi unavyoua kwa haraka, miezi miwili sasa tangu umeingia nchini, kila Mtaa au ofisi sasa hivi pangekua hapakaliki.

Ili kujua kwamba hali sio mbaya, hadi sasa balozi mbalimbali za nchi za Kigeni zinafungua ofisi kama kawaida. Washington DC na miji mingine iliyokumbwa na huu Ugonjwa hawawezi kwenda maofisini.

Huo mfano wa kaburi la Rwanda unazungumza vitu usivyovijua, lile ni kaburi watu walizikwa kipindi cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, Serikali iliyohusika sio hii ya sasa, Serikali hii haikujua kama hapo kulizikwa watu, juzi ndio imeligundua, sasa Serikali gani iliyoficha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio muandishi wahabari kufuatilia vifo mtaani kwangu ila watu wanazikwa kila suku lkn wakati wakuzika hawasemi kulicho muua marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…