Visa vya kufumaniwa Jifunze

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Kufumaniwa na mke wa mtu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa kijamii na kisheria. Katika jamii nyingi, kitendo hiki kinaweza kusababisha aibu, hasira, na hata ghasia. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wamepigwa, kujeruhiwa, au hata kuuawa kutokana na kufumaniwa na mke wa mtu

Kisheria, nchini kulala na mke wa mtu si kosa la jinai, lakini ni kosa kimaadili na kiimani. Hata hivyo, mume anaweza kudai fidia mahakamani kwa kitendo hicho1. Katika baadhi ya kesi, suala hili linaweza kusuluhishwa na viongozi wa dini, wazee wa familia, au viongozi wa mtaa

Kwa ujumla, ni vzr kuepuka vitendo vya aina hii ili kuepusha madhara na migogoro isiyo ya lazima. Ni fundisho kwamba uaminifu na heshima katika ndoa ni muhimu sana kwa amani na utulivu wa jamii.

Kusimulia visa vya kufumaniwa kunaweza kuwa njia nzuri ya kutoa mafunzo na kuonya wengine kuhusu madhara ya tabia hiyo

Ndugu zangu, naomba mwenye kisa cha kufumaniwa ili kutoa mafunzo na kuonya kuhusu madhara ya tabia hii. Tafadhali zingatieni kwamba visa hivi vinaweza kuwa na mambo mazito.

Asanteni
 
Mkuu,,,Leo nmetomgoza mke wa mtu ile kama anataka kukubali mara kama anakataa kiufup anataka hataki
Sijui nimfanyaje ajae kwenye mfumo
 
Wanaume tukiamua tunaweza punguza idadi ya wanawake malaya. Mwanamke Malaya ni adui wa mwanaume mwenzako, kataa umalaya, Kama una kiu sana ichakate ila usiache kumwambia, Asante, nimeinjoy japo wewe ni malaya na unanuka umalaya sababu una mume.
 
Jitahidi ukae mbali na mke wa mtu mile 100, ikiwezekana ongeza na 50, kaa mbali sana na mwanamke aliyeolewa, wapo wenye akili timamu, wapo ambao hawawezi kujishikilia, unajikuta matatizoni.
Nilikula mke wa mtu nikafumaniwa,nilimtuliza nikamwandikia cheki,nina wana ile benki,asubuhi nikawahi kuiblok,jamaa kwenda kucash out hola,aliniloga vibaya

Ila nilijua kwa nini alimuoa yule mwanamke,kwanza mzuri, pili fundi,tatu maumbile ya kipekee kwa joto,mnato na mule ndani palivyo,ni kama kuna vimchangamchanga,sasa akikata kiuno hiyo raha yake usiombe
 
Mke wa mtu sumu wahenga walisema.. Always ukifumaniwa lazima ufanyiwe mambo ya aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…