OkeeMkuu,,,Leo nmetomgoza mke wa mtu ile kama anataka kukubali mara kama anakataa kiufup anataka hataki
Sijui nimfanyaje ajae kwenye mfumo
TENA WAKE WA DAUDI WALILIWA HADHARANI MBELE YA WATU,NDIVYO BIBLIA ILIVYO ANDIKAMke wa mtu ni sumu na iko hivyo ni sumu, kuna Watu hawaelewi hapa, unaweza usifumaniwe lakini jua kuwa ni sumu.
kuna mfalme anaitwa Abimelek alitaka kula Sarah na Kumbuka hakufumaniwa ila alipata cha moto.
kuna mfalme aliitwa Daudi alikula mke wa mtu na hakufumaniwa lakini alipata cha moto, adhabu yake watoto wake waliuana, alifukuzwa kwenye kiti cha ufalme na wake zake kuliwa na mtoto wake.
Hata Kama haujafumaniwa jua kuwa mke wa mtu ni sumu. Naomba kuwasilisha
kuna Herode aliliwa na changoTENA WAKE WA DAUDI WALILIWA HADHARANI MBELE YA WATU,NDIVYO BIBLIA ILIVYO ANDIKA
KWA KIFUPI MKE WA MTU NI SUMU ZAIDI YA SUMU MIMI NAONA ATA ALIE SEMA MKE WA MTU SUMU BADO HAIKUTOSHA KUITA HIVYO.
Mwambie wewe utakuwa "Kidumu" mwaminifu kwake...hapo chap tuMkuu,,,Leo nmetomgoza mke wa mtu ile kama anataka kukubali mara kama anakataa kiufup anataka hataki
Sijui nimfanyaje ajae kwenye mfumo
Hii chaiNilikula mke wa mtu nikafumaniwa,nilimtuliza nikamwandikia cheki,nina wana ile benki,asubuhi nikawahi kuiblok,jamaa kwenda kucash out hola,aliniloga vibaya
Ila nilijua kwa nini alimuoa yule mwanamke,kwanza mzuri, pili fundi,tatu maumbile ya kipekee kwa joto,mnato na mule ndani palivyo,ni kama kuna vimchangamchanga,sasa akikata kiuno hiyo raha yake usiombe
Mkuu Punguza kutumia AI,jambo dogo kama hili Hadi utumie akili mnemba!? Hata kama umeitumia jitahidi kui-personalise basi!!Kufumaniwa na mke wa mtu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa kijamii na kisheria. Katika jamii nyingi, kitendo hiki kinaweza kusababisha aibu, hasira, na hata ghasia. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wamepigwa, kujeruhiwa, au hata kuuawa kutokana na kufumaniwa na mke wa mtu
Kisheria, nchini kulala na mke wa mtu si kosa la jinai, lakini ni kosa kimaadili na kiimani. Hata hivyo, mume anaweza kudai fidia mahakamani kwa kitendo hicho1. Katika baadhi ya kesi, suala hili linaweza kusuluhishwa na viongozi wa dini, wazee wa familia, au viongozi wa mtaa
Kwa ujumla, ni vzr kuepuka vitendo vya aina hii ili kuepusha madhara na migogoro isiyo ya lazima. Ni fundisho kwamba uaminifu na heshima katika ndoa ni muhimu sana kwa amani na utulivu wa jamii.
Kusimulia visa vya kufumaniwa kunaweza kuwa njia nzuri ya kutoa mafunzo na kuonya wengine kuhusu madhara ya tabia hiyo
Ndugu zangu, naomba mwenye kisa cha kufumaniwa ili kutoa mafunzo na kuonya kuhusu madhara ya tabia hii. Tafadhali zingatieni kwamba visa hivi vinaweza kuwa na mambo mazito.
Asanteni
Anataka akutibue mavuziJiheshimu mkuu
Bado una Manundu? Nasikia ulipigwa?Dah Nina Visa vitano mpaka nimefika umri huu ila ni katika maeneo tofauti ,huko Karagwe _Kagera ,pale Nyakatungru ,Kurasini _Dar es salaam ,Kirando _Rukwa na Ruhuwiko _ Songea
Ila Mungu mkubwa kote nilitoka salama ila Karagwe nilipata vijeraha vidogo vya usoni ila Mungu alikuwa upande wangu .
Sasa nimeacha na rasmi nawaheshimu wake za watu
1. Daudi alimuua mmoja wa Majenerali wake aitwae URIAH ili amchukue mke wake BATHSHEBA.Mke wa mtu ni sumu na iko hivyo ni sumu, kuna Watu hawaelewi hapa, unaweza usifumaniwe lakini jua kuwa ni sumu.
kuna mfalme anaitwa Abimelek alitaka kula Sarah na Kumbuka hakufumaniwa ila alipata cha moto.
kuna mfalme aliitwa Daudi alikula mke wa mtu na hakufumaniwa lakini alipata cha moto, adhabu yake watoto wake waliuana, alifukuzwa kwenye kiti cha ufalme na wake zake kuliwa na mtoto wake.
Hata Kama haujafumaniwa jua kuwa mke wa mtu ni sumu. Naomba kuwasilisha
Yote hiyo ni kwa sababu ya Daudi kumla Mke Uriah1. Daudi alimuua mmoja wa Majenerali wake aitwae URIAH ili amchukue mke wake BATHSHEBA.
2. AMNON mtoto wa Daudi akambaka Dadake wa Kambo TAMARI mdogo wa ABSALOM.
3. ABSALOM akamuuwa Kakake wa kambo AMNON kwa kumbaka dadake.
4. ABSALOM akala njama ya kumpindua DAUDI babake. Jaribio likashindwa akauwawa vitani.
5. ABSALOM akawala masuria wa babake DAUDI.
6. SULEMANI akamwua Kakake wa Kambo ADONIA kwa wivu wa kutaka kumwoa ABISHAGI aliyemtunza Mfalme DAUDI hadi kifo.
UBAYA UBWELA😎
2SAMWELI 11
2SAMWELI 13
2SAMWELI 15
2SAMWELI 16:22
1WAFALME 2:24
Huyu Mfalme ABIMELEKI sasa cha moto hakikuwa kwake yeye tu, Watu wote humo ndani kwake walipigwa vidudu vikakataa kusimama kabisa hadi ABRAHAM alipowaombea kwa MUNGU.Mke wa mtu ni sumu na iko hivyo ni sumu, kuna Watu hawaelewi hapa, unaweza usifumaniwe lakini jua kuwa ni sumu.
kuna mfalme anaitwa Abimelek alitaka kula Sarah na Kumbuka hakufumaniwa ila alipata cha moto.
kuna mfalme aliitwa Daudi alikula mke wa mtu na hakufumaniwa lakini alipata cha moto, adhabu yake watoto wake waliuana, alifukuzwa kwenye kiti cha ufalme na wake zake kuliwa na mtoto wake.
Hata Kama haujafumaniwa jua kuwa mke wa mtu ni sumu. Naomba kuwasilisha
Na mpaka alipotoa sadakaHuyu Mfalme ABIMELEKI sasa cha moto hakikuwa kwake yeye tu, Watu wote humo ndani kwake walipigwa vidudu vikakataa kusimama kabisa hadi ABRAHAM alipowaombea kwa MUNGU.