Visa vya kushangaza/ visivyo vya kawaida

Visa vya kushangaza/ visivyo vya kawaida

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
966
Reaction score
1,084
Rejea mada tajwa

Uzi huu ni kwa ajili ya VISA/ MIKASA ya kushangasa na pengne mtu akaja na jawabu la mkasa wako unamaanisha nini au tafsiri ya mkasa ulionao.

Mimi nimehama mkoa wa ziwa na kuhamia nyanda za juu huku wafugaji hugunga ng'ombe kwenye nyasi sasa ni kawaida napopita ng'ombe anaanza kunifuata hii ni ISHARA ya nini? Wengne wanapita ng'ombe hata hana habari nao.
 
Back
Top Bottom