sangkipsigis
Member
- Dec 24, 2008
- 16
- 2
Je wabongo tunahitaji visa kwenda Malaysia? Na kama tunahitaji wapi tunapeleka maombi kwani kwa habari nilizonazo hakuna ubalozi wa Malaysia hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
visa utapata ukifika airport kl (on arrival). Kwa vile sisi tupo kwenye commonwealth kama wao ..visa utalipia ukifika (huna haja ya kuomba ubalozini kwao). Ukitoka nchi kama nigeria (mojawapo) ndio unahitaji kuomba viza kabla hujaondoka. Mimi nilienda 2001 na nililipia nilivyofika kl na kuna jamaa yangu alikwenda mwaka jana ..na alilipia visa pale kl airport. Angalia hapa;
Malaysia Visa Requiremnts, Types Of Visa, Visa On Arrival & Custom Formalities