Visa ya Malaysia

sangkipsigis

Member
Joined
Dec 24, 2008
Posts
16
Reaction score
2
Je wabongo tunahitaji visa kwenda Malaysia? Na kama tunahitaji wapi tunapeleka maombi kwani kwa habari nilizonazo hakuna ubalozi wa Malaysia hapa.
 
Visa unaweza kupata KL International Airport, au ufunge safari ya kwenda Nairobi wana ubalozi huko.
 
Visa utapata ukifika Airport KL (on arrival). Kwa vile sisi tupo kwenye commonwealth kama wao ..visa utalipia ukifika (huna haja ya kuomba ubalozini kwao). Ukitoka nchi kama Nigeria (mojawapo) ndio unahitaji kuomba viza kabla hujaondoka. Mimi nilienda 2001 na nililipia nilivyofika KL na kuna jamaa yangu alikwenda mwaka jana ..na alilipia visa pale KL airport. Angalia hapa;

http://www.travelmasti.com/international/malaysia/malaysia-visa.html
 

asante kwa ufafanuzi kina...
Hatukomi kujifunza hadi mauti yatukumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…