Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Msaada,
Ndugu yangu amefanikiwa kupata schoolarship ya commonwealth dakika za majeruhi.
Shule inaanza 1/10/2013.
Leo ndio amepata all the docs kwa ajili ya application ya Visa.
Nimefahamu kwamba visa ya UK inaweza kuchukua hata 2 months.
vile vile, nilisikia kwamba visa ya UK unaweza kuipata kwa wiki moja.
Tafadhali naomba mwongozo wa nini cha kufanya and all the process ili aweze kupata visa kwa muda mfupi iwezekanavyo ili asichelewe kuanza masomo.
asante sana