Visa ya Uingereza (UK)

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Msaada,

Ndugu yangu amefanikiwa kupata schoolarship ya commonwealth dakika za majeruhi.
Shule inaanza 1/10/2013.
Leo ndio amepata all the docs kwa ajili ya application ya Visa.
Nimefahamu kwamba visa ya UK inaweza kuchukua hata 2 months.

vile vile, nilisikia kwamba visa ya UK unaweza kuipata kwa wiki moja.
Tafadhali naomba mwongozo wa nini cha kufanya and all the process ili aweze kupata visa kwa muda mfupi iwezekanavyo ili asichelewe kuanza masomo.

asante sana
 

Kutoka hapo ulipo na kwenda ubalozi wa Uingereza inakuchukuwa muda gani?
 
Nipo vijiji vya Kasulu, Kigoma.
Will take me about 4-5 days.
Na bado sina hakika kama nitawahi visa section ikiwa wazi.
I hope I have answered correctly.


Kutoka hapo ulipo na kwenda ubalozi wa Uingereza inakuchukuwa muda gani?
 
Nipo vijiji vya Kasulu, Kigoma.
Will take me about 4-5 days.
Na bado sina hakika kama nitawahi visa section ikiwa wazi.
I hope I have answered correctly.

Mwambie ndugu yako aende ubalozi wa Uingereza physical, siyo kila kitu unaweza kusolve online. Kimsingi ameshachelewa ila inategemea na busara za consular.

Wenzetu joining date kwao inamata sana.
 
Asante sana kwa taarifa/ushauri.
Swala la kuchelewa ninalijua, na nimeshaliongea tangia mwanzo.
Swala ni kuharakisha hiyo process.
Nimeuliza hivyo kwa maana nimeambiwa kwamba US and UK unaomba visa on line, na sio kama unataka kwenda Rwanda.


Mwambie ndugu yako aende ubalozi wa Uingereza physical, siyo kila kitu unaweza kusolve online. Kimsingi ameshachelewa ila inategemea na busara za consular.

Wenzetu joining date kwao inamata sana.
 
Nliskia wangereza unaeza ku-fasttrack visa ukiongeza ela 'kidogo'..sasa hebu nenda ubalozini ukasikie kwa masikio yako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…