Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #41
Wanakula nini chakula gani vinapatikana wapi supermarket au?Kabla hujanunua hakikisha unahakika na mahali pa kununulia Chakula chao
Kwa mwanza je?UPANGA
Kuna baadhi ya supermarket ila hakikisha utaponunu uwe na uhakika wa Chakula chao maana ni hadimu kidogoWanakula nini chakula gani vinapatikana wapi supermarket au?
SawaKuna baadhi ya supermarket ila hakikisha utaponunu uwe na uhakika wa Chakula chao maana ni hadimu kidogo
Hakikisha hiloSawa
Kwa mwanza je?
niko mwanza ilemelaShukrani nataka wa mwanza tu
Leo upo mwanza tena yaan weweniko mwanza ilemela
Sawa
nitafute pm mama sabrina..utalipia nusu ya gharama.
Mbona nakuja mwanza mara kibaoLeo upo mwanza tena yaan wewe
Asa mbona hujibu pm [emoji57][emoji57][emoji57]Mbona nakuja mwanza mara kibao
kwelamu unalo??? enzi izo utotoni ndiyo nilikua naliita ivyoAquarium unalo?
kwelamu unalo??? enzi izo utotoni ndiyo nilikua naliita ivyo