Vishoka si tanesco tu, hadi mahospitalini - dr rahabu

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
993
Wakuu,
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha njiapanda clouds fm siyo muda, mwishoni mwa kipindi akaingia Dr Rahabu yule mgunduzi wa dawa ya kutibu vidonda vya tumbo ambaye kwa sasa anapatikana ubungo plaza na si buguruni tena.

Dr ametoa angalizo kwa wagonjwa wanaoenda kupima vidonda vya tumbo hospitalini kwenda moja kwa moja dirishani kwakuwa imejitokeza VISHOKA ambao huwapokea wagonjwa juu kwa juu wafikapo maeneo ya hospitali na kuwapima huko pembeni na kuwapa majibu hawana au wanavyo bila kuwa na uhakika!!!

Haya jamani vishoka mpaka hospitalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…