Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Haya ndio mambo tusiyoyataka, wanasaidia huku wakiumiza watu wengine. Hebu tuwe taifa la watu wanaojielewa, vishoka na principles zake ni kwa ajili ya mataifa yasiyojielewa, yasiyofuata taratibu...Ila wanasaidia kwa nmna fulani kuharakisha mmbo..ukiwatumia vzr mana wengi wana channel kubwa na viongozi waandamizi wa serikali na chama.
#MaendeleoHayanaChama
Kumuondoa Lukuvi wizara ya ardhi lilikuwa kosa kubwa sana. Samia alitukosea sana. Sasa hivi hati imekuwa shida sana kupata. mambo yanaharibika na kuvurugika kila uchaoKWA MFANO ARDHI,MATAPELI YANAPOFORGE HATI YA MTU SHUGULI HII HUCHUKUA WIKI TATU TU,HATI HUWA IMETOKA,SASA WEWE AMBAYE UNAFUATILIA HATI YAKO KIHALALI ITAKUCHUKUWA MPAKA MIEZI 6,MATAPELI NA VISHOKA SIELEWI WANATUMIA PRINCIPLE GANI,YAANI JAMBO HALALI HAPO ARDHI NI SHIDA KWELI.