Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Magu alishakufa mkuu, huna taarifa??Kuharakisha , Yes, kuepuka deni I doubt; nenda ndani, kubaliana kulipa taratibu, Kipindi cha Comred Magufuli watu wengi waliingia kwenye shida sababu ya hizi short cuts, which are long cuts!
Ndio nataka Sasa uyo jamaa Ambae ni kishoka amalizane nae mana Mimi sina mtu nifanyajeclearance kuipata ni chapu tu sema mchaw kwenye kufutiwa deni bila kua na m2 inside na kumpa chochote kitu hutoboi
biashara yako ipo mkoa gan?Ndio nataka Sasa uyo jamaa Ambae ni kishoka amalizane nae mana Mimi sina mtu nifanyaje
Magu alishakufa mkuu, huna taarifa??
Kama shortcut ipo atumie, ale kwa urefu wa kamba.
Dar es salaam...TIN inasoma ilalabiashara yako ipo mkoa gan?
pole sana mkuu..mimi nina mtu pale mwenge ambapo haiserve mkoa wa kikodi wa ilalaDar es salaam...TIN inasoma ilala