Burn the bridge _Tz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 2,319 Reaction score 6,878 Jun 13, 2025 #1 Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Jun 13, 2025 #2 ww s ndo wa jana mwixi ww boda😂🤣 nenda n ww kapigwe mbaya mbaya tu
Burn the bridge _Tz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 2,319 Reaction score 6,878 Jun 13, 2025 Thread starter #3 fundi bishoo said: ww s ndo wa jana mwixi ww boda😂🤣 nenda n ww kapigwe mbaya mbaya tu Click to expand... Jana mods wamefuta Uzi wangu mkuu Mimi sio mwizi copy ya kadi yenye jina la bank na jina langu ipo ila tatizo nataka ya jina langu niuze
fundi bishoo said: ww s ndo wa jana mwixi ww boda😂🤣 nenda n ww kapigwe mbaya mbaya tu Click to expand... Jana mods wamefuta Uzi wangu mkuu Mimi sio mwizi copy ya kadi yenye jina la bank na jina langu ipo ila tatizo nataka ya jina langu niuze
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Jun 13, 2025 #4 Mvactican said: Jana mods wamefuta Uzi wangu mkuu Mimi sio mwizi copy ya kadi yenye jina la bank na jina langu ipo ila tatizo nataka ya jina langu niuze Click to expand... kuna jamaa s alisema ukienda posta unapata kaka mm sina uhakika nannili jarbu kufatilia piap
Mvactican said: Jana mods wamefuta Uzi wangu mkuu Mimi sio mwizi copy ya kadi yenye jina la bank na jina langu ipo ila tatizo nataka ya jina langu niuze Click to expand... kuna jamaa s alisema ukienda posta unapata kaka mm sina uhakika nannili jarbu kufatilia piap