Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Haya ni mawazo ya kimasikini na uswahili uswahili tunaodanganyana vijiweni.
Hizi ndio sababu kuu mbili za aibu yetu:
■Kwanza, tuangalie utamaduni wetu wa kuweka uswahili uswahili katika kila kitu. Soccer limekuwa mchezo wa sayansi na shule. Ila wabongo hatutaki ku-adapt hilo kutokana na maslahi yetu, na maslahi yetu yanasimamiwa na misingi ya uswahili uswahili. Kuanzia Uchaguzi wa kikosi, viongozi na menejimenti imegubikwa uswahili mwingi sana.
■Pili, sio kwamba hatuna vipaji, vipaji vipo lukuki ila vitaonekanaje kama hakuna agency au academy ya kuvitambua na kuviendeleza. Tena kwa ushauri wangu agency hizi zisimamiwe na wageni kwa maana wabongo wataleta uswahili uswahili mwingi kuchagua vijana kisa ni ndugu zao au kwa kupewa hongo. Utambuzi wa vipaji unafanya na klabu zetu, ni aibu na ni kosa kubwa, vipaji vinatakiwa vitambulie na academies nyingi ilj kuwepo na ushindani wa kupata cream nzuri ya vipaji.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app