Visit Kilimanjaro and Zanzibar haina mantiki

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi, Selous, Ngorongoro, Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya Jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
 
Sawa,hao wanaotakiwa ku-visit hata wakija huku chanika watakuwa wame Visit Tanzania hongereni kwa kumaliza kila kitu huku mkitapatapa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hujui kwamba mlima Kilimanjaro ni maarufu kuliko nchi ya Tanzania?
 
Hata hivi hao ATCL hawajafikiria.
Yaani mfano timu ipo dakika ya 87 na matokeo ni 0:0 halafu wewe unaomba OVER 1.5.
Si bora utafute timu ambazo zipo first half huko yaani simba!
 
Hata hivi hao ATCL hawajafikiria.
Yaani mfano timu ipo dakika ya 87 na matokeo ni 0:0 halafu wewe unaomba OVER 1.5.
Si bora utafute timu ambazo zipo first half huko yaani simba!
Mechi ya Rivers vs Yanga ni saa 18:00 , Je mechi ya Simba itakuwa saa ngapi
 
Time INA mechi moja ya kimataifa eti inafanya utalii utopolo bhana
 
Hata hivi hao ATCL hawajafikiria.
Yaani mfano timu ipo dakika ya 87 na matokeo ni 0:0 halafu wewe unaomba OVER 1.5.
Si bora utafute timu ambazo zipo first half huko yaani simba!
Ni aibu kwa Taifa
 
Duh point makini
 
Leta
Leta vyenye mantiki mkuu, unapo kuwa tofauti anza na ushauri siyo kupinga kilichopo, kwani Kilimanjaro na Zanzibar ukivihitaji utavipata wapi wanajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…