kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Sina hakika ila nasikia kakulia hapa hapa Bongo..afu ndo elimu ya juu kasoma njeHivi huyu mama ni mtanzania?
Kwa sababu Simba inashinda subiri ifungwe uone kama watu watakumbuka kwamba alitoa wazo la visit TanzaniaBila shaka muda utaeleza lakini kwa kipindi kifupi cha utendaji anaonekana ni iron lady....! Sio Simba tu huyu ni Faida kwa nchi
Kwa sababu Simba inashinda subiri ifungwe uone kama watu watakumbuka kwamba alitoa wazo la visit Tanzania
Raia wa france before alikuwa msaidizi wa mo wabongo wameenda mbali zaidi na kumuita mchepuko wa mo ndo mana kapewa teamHivi huyu mama ni mtanzania?
Mkuu subiri mkitoka na as Vita, mnakutana na Yanga then Al Ahly.. ombeni mshindi hizo gameKufungwa kwaa simbaa lawama haziwezi kwenda kwake
kawoli kovai tamil taiga | Tanzanian - Colombian. Mtanzania Mkolombia.Raia wa france before alikuwa msaidizi wa mo wabongo wameenda mbali zaidi na kumuita mchepuko wa mo ndo mana kapewa team
Kwahivyo ulitamani nawe...Ili upewe timu eeeeh...!Raia wa france before alikuwa msaidizi wa mo wabongo wameenda mbali zaidi na kumuita mchepuko wa mo ndo mana kapewa team
Kushinda mechi hakusubiri maombi, ni uwezoMkuu subiri mkitoka na as Vita, mnakutana na Yanga then Al Ahly.. ombeni mshindi hizo game
Punguza usengelema umbwa wew kitu hakikuhusu shobo za ninKwahivyo ulitamani nawe...Ili upewe timu eeeeh...!
Imepenya hiyo dadeki na umeipata vilivyo...Acha wivu [emoji1787]Punguza usengelema umbwa wew kitu hakikuhusu shobo za nin
Huyu ananikumbusha wa mama wengine walioacha alama...Kwa uchache marehemu Bibi Titi, Bi Kidude Huyu alitumbuiza,Gertrude Mongella nafikiri bado yu hai, na wengine wengi. Ubunifu anaouonyesha siku moja atawafikia na kuacha alama...! Tumuombee
Hivi huyu mama ni mtanzania?