Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Kwanini serikali yetu haijaetaka kuwapa serious Tour Operator wajenge mahoteli katika visiwa mbele ya Jiji la Dar? Kuna ujenzi usioharibu mazingira na ajira nyingi za wa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini serikali yetu haijaetaka kuwapa serious Tour Operator wajenge mahoteli katika visiwa mbele ya Jiji la Dar? Kuna ujenzi usioharibu mazingira na ajira nyingi za wa tanzania.
Kwanini serikali yetu haijaetaka kuwapa serious Tour Operator wajenge mahoteli katika visiwa mbele ya Jiji la Dar? Kuna ujenzi usioharibu mazingira na ajira nyingi za wa tanzania.
hata pemba ,mafia na unguja vimejaaKweli mkuu hujui kuwa visiwa vyote vimejaa? Hivyo alivyotaja jamaa hapo juu tayari vina biashara za watu, hivi vingine ni makazi ya watu, kama Tabata Kisiwani kumejaa, Mwananyamala Kisiwani kumejaa kabisa !!!!!!!!!!.
Mkuu nime google na visiwa vingine vyote maarufu ndani ya Tanzania na vivutio vya majini kwenye kila kisiwa, sikujua ya kuwa nyangumi wanakusanyika mafia kuja kuzaa na mambo mengine ya marine biology kwenye visiwa vingine.Hivi visiwa ni marine reserve ya taifa, viko chini ya Dar es Salaam Marine Reserves (DMR) ambayo imeanzishwa kisheria.
Google DMR utapata maelezo ya kina.
Mkuu nime google na visiwa vingine vyote maarufu ndani ya Tanzania na vivutio vya majini kwenye kila kisiwa, sikujua ya kuwa nyangumi wanakusanyika mafia kuja kuzaa na mambo mengine ya marine biology kwenye visiwa vingine.
Naona kama vile sisi ni mfano mzuri sana kama case study ya poor government creativity and management aiwezekani Taifa lenye almost everything na bado kuwa maskini duniani.
Hili si swala kujua ugumu wa kuku na yai kipi kimetangulia.Lawama ni kwa serekali au ni kwa raia?