Filipo Lubua
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 339
- 578
Wengi wetu tumekuwa tukifikiri kuwa asili ya mtu mweusi ni Afrika tu, na tumekuwa tukidhani kuwa popote umwonapo mtu mweusi basi asili yake ni Afrika, lakini kuna watu wa maeneo mengine ambapo kuna watu weusi na wala si wahamiaji. Visiwa vya Solomon, Papua New Gunea, na baadhi ya maeneo ya Indoneshia yana wakazi wa asili ambao ni weusi. Cha ajabu sana wana utamaduni unaonekana kuendana kwa namna fulani na utamaduni wa Waafrika.
Pata video moja hapa:
Pata video moja hapa:
Last edited by a moderator: