Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Kama unataka kujifunza visual basic bac post hapa uniambie unataka kujua nini specific!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka kujifunza visual basic bac post hapa uniambie unataka kujua nini specific!!
Kama unataka kujifunza visual basic bac post hapa uniambie unataka kujua nini specific!!
Dah kweli unaipenda VB, maana baada ya kumpa differences za VB, C#, C++, na F#, umempa utam wa kutumia VB. Sio siri VB ni tam na straight to the point. Nilikua sijawahi itumia ila juzi nilipewa a database project nikawa restricted kutumia .NET technology, ikabidi nikaisome yani mwanzo mwisho you drag and drop, yani database iko portable mtu unaweka project kwenye flash unaenda kwenye computer nyingine na unakuwa na db yako na kila kilakitu, yani wewe nikubadilisha mistari miwili mitatu ya code basi... Microsoft's target is always user-friendlinessIt's okay.....vile vile tunaweza kubadilishana tips and tricks and so on! N also kukurahisishia Zing ni kwamba VB iis different with C++ in many ways kutoka kwenye GUI(Graphical User Interface),Tools zake za Drag and Drop na pia VB inatumia User-Friendly Language kadri siku zinavyozidi kwenda e.g If.......Then, Me.Close or Form1.show, let me not get so deep but to me VB is so fun to work with. Baadaye Bac!:angel:
Tupe Website Mtazamaji, ili tudownload hicho kitabu kwa free, maana ukigoogle zinakuja nyingi na hujui ipi ndiyo inatoa free. Msaada tuani.
hii thread ilikuwa inazungumzia VB2008 nilitegemea watu wangekuja na yanayohusu VB2008 au hata VB2010. kama kuna mtu anaona Csharp C++ anayo elimu basi afungue thread mpya na amwage elimu huko. ila ninavyojua mimi elimu yote inapatikana kwenye internet. kama kuna mtu anaelimu na python ningefurahi kama angenipa hayo maelimu . sitaki anipe google maana nataka anifundishe nielewe na niweze kumuuliza swali anijibu. nilipata mwalimu mmoja alikuwa ametoka Wales kiingereza chake kilikuwa fast sana kiasi kwamba nikashindwa kumuelewa alikuwa anaongea kama chereani.
Mimi nataka
Visual basic ni nini? ina tofauti gani na C++ au C♯ na F♯
aksante
try one of this link nimeupload huko
Sams Teach Yourself Visual Basic 6 in 21 Days.pdf
Sams Teach Yourself Visual Basic 6 in 21 Days.pdf
jaribu pia na kwenda afroit.com.
hii thread ilikuwa inazungumzia VB2008 nilitegemea watu wangekuja na yanayohusu VB2008 au hata VB2010. kama kuna mtu anaona Csharp C++ anayo elimu basi afungue thread mpya na amwage elimu huko. ila ninavyojua mimi elimu yote inapatikana kwenye internet. kama kuna mtu anaelimu na python ningefurahi kama angenipa hayo maelimu . sitaki anipe google maana nataka anifundishe nielewe na niweze kumuuliza swali anijibu. nilipata mwalimu mmoja alikuwa ametoka Wales kiingereza chake kilikuwa fast sana kiasi kwamba nikashindwa kumuelewa alikuwa anaongea kama chereani.
miminimteoa kitabu cha VB6 labda nimekosea wewe kama unacho cha VB2008 au VB 2010 toa. Naamini muhitaji hatashindwa kitu kama nimempotosha mwambie. Am open to criticismCalvinppower said:Nilitegemea watu wangekuja na yanayohusu VB2008 au hata VB2010.
Calvinppower said:......kama kuna mtu anaelimu na python ningefurahi kama angenipa hayo maelimu
Wa wales kingereza kwao inawezekana ni lugha yao ya pili. kushindwa kumuelewa sio sababu ya kuongea kama cherani ni matamshi yao na wewe kutokuwa makini .Watu wamefundishwa kingereza na wachina na wajapan na wahindi na wanaelewa.Navyoua mm programming hujifunzi kama history inakwenda kwa practice.Calvinppower said:.....Wales kiingereza chake kilikuwa fast sana kiasi kwamba nikashindwa kumuelewa alikuwa anaongea kama chereani.....
Ukweli nikisoma btn the lines naona na wewe una elimu nzuri tu ya phyton una chotaka ni mtu mwingine mwenye elimu hiyo mpeane changamoto.Calvinppower said:.......kama kuna mtu anaelimu na python ningefurahi kama angenipa hayo maelimu
mtazamaji sikuwa na maana hiyo ya vb6 isiingie humu vb6 na .net vinafanana sana na mchago wako ni mkubwa sana nimedownload hivyo vitabu kumbe pc yangu hapa haina acrobat reader ni mpaka home.
kweli kabisa python siielewi ila kuna software ya bios password ipo kwenye python na nilitaka niiweke kwenye .net hii hapa http://dogber1.blogspot.com/
Nataka kujua how to code Log in Interface kwa user mbalimbali lets say 50.
Yaani ile window ya User Name______________
Password_______________
kama sio mivvu wa kusoma tafuta kinaitwa Pro ASP.NET in C#. Soma kipengele cha Data acess..
1. create the database with a password
2. connect to a database
3. query the database and retrieve info
4. vb textboxes or maybe input box
5. if statements
6. VB form and how to run it
7. A way to show your flash stuff
comment kutoka Creating Front-End Login Interface
nimeelewa ila ningependelea mtu mwenye elimu ya python afungue thread ili iwe msaada kwangu na wengine. mimi nikifungua thread inaweza ikakosa mwalimu halafu ikapotea. lakini nashukuru kwa kunifahamisha. vile vile kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kurifill cartridge za printer afungue thread ya hiyo elimu, maana haya mavitabu ya ebook yanakula sana wino wa printer kama utataka kuprint. mimi ninaelimu ya kurifill lakini sio kwa undani saana. kama tutakosa teacher wa cartrige re-fillin mkuu kuhusu ya kurifill tayari ww ni mwlm anzisha kama ambavyo umeshanza wengine watakubackup mkuu umegusia tu tayari imenoga