Mi binafsi ninavojua in lay man language tofauti ya hizo hapo ni
C ni language ambayo inatumia only the basics of programming, structures, functions, procedures. (imperative programming/functional programming/procedural programming. )Actually watu wengi wanaoanza kujifunza programming wanaanza na C programming. (ukiacha mlimani waliotuanzishia na PASCAL)
Java inatumia basics za programming lakini inaenda an extra mile. It programs every functionality into a class, So if you were programming an application for a an ATM, you had to come up with separate classes for; request for balance, request for cash withdrawal, request for receipt nk(ni mifano tu). badae unakua na main class ambayo itatumia hizo classes kwa mfumo inaotaka, by calling the classes using "objects". Hii ni muhim sana kwa sababu, hatutaki kila kukicha watu wawe wanadevelope the same functionalities, so siku nyingine mkitaka kudevelope application inayorequest receipts, mnaweza "reuse" ile ya ATM, so upto now so so many java classes exist (Hii inaitwa object oriented programming), wewe ukiwa unachapa code unaita tu zile classes therefore "not re-inventing the wheel". Pia Java is cross-platiform kama umesikia kuhusu JDK and JRE if you want you can google or ask me I can expalin that for you.
Haya sasa watu wa C walivoona kuwa classes zinaprovide sana portability upande wa java, they came up with C++, yaani having C that uses classes kama Java rather than functions and procedures. kwa hiyo ukitaka kutumia C with classes then use C++,
Sasa VB yenyewe ni programming language that was developed and owned by Microsoft, waliona watu wanakimbia sana programming, so wakaja na lugha "rahisi" in the way that you develope while "visualising your work" on forms, yani wewe unadrag labda textbox halafu unadrop kwenye form, unaongeza mistari michache tu then ur done. but it requres some runtime to process, ndo maana windows za siku hizi kama xp, vista, window 7, zinakuja teari na inbuilt runtime. ila pia ina features za classes.
C# on the other hand is still for these Microsoft giants but it combines the simplisity of VB and the robustiness of C++ programming. So iko object oriented pia, inatumika sana kwenye ".NET framework" Microsoft wamejitengenezea framework ambayo mtu anaweza akafanya applications kwa kumix kugha mbalimbali kama C/C++/C# na F# kuwarahisishia macoders.
wakati C# ina mimic C++ katika .Net, F# inajitahidi ku mimic vyote classes(object oriented) and functional programming(kama kwenye C), ndo deal la watu wa .NET sa ivi. They claim its more powerful than C# and VB
Nahisi nimekusaidia ndugu yangu... mi huwa nna maneno mengi, so chambua chambua humo utapata smthn.