Visual studio c# 2008

Visual studio c# 2008

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Nataka kuunganisha hii makitaba(library) WinPcap kwenye visual studio c# 2008 kwani sio native yake.Lakini sijui namna ya kuingunanisha ili ichape mzigo.
Mtu yeyote mwenye maelezo murua namna ya kuinganisha naomba msaada wako kwa kuninyaburishia hatua moja baada ya nyingine.
 
Sijapata muda wa kuigusa c#, lakini kwa kidogo ninachojua, WinPcap inakuja kama dll. Kulitumia kwenye c# unhitaji "header file" (au wengine wanaita wrapper) la WinPCap lililoandikwa kwa c#. Wrapper hiyo ndiyo inalokusaidia kutumia function za WinPCap ndani ya c#. Kwa mfano kama unataka kutumia WinPCap kwenye c/c++ lazima uwe na header file la WinPCap lililoandikwa kwa c++.

Tafuta kwa google, na kama usipopata jaribu kuisoma vizuri API ya WinPCap na uandike mwenyewe c# wrapper ya WinPCap.

Angalia hapa: c# winPCap wrapper - Tafuta Google

Good luck.
 
Back
Top Bottom