"...Tanzania hatuna corona, ipo chache, walioenda nje ndo wameileta..." Alisika kiongozi mmoja
Hahhhahhahhahahhahhahamalizia au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Natamani huyu mdudu akutembelee...akwende zake Tanzania haina corona kwani kabla ya Corona watu walikua hawafi tuacheni uzwazwa mi napenda sana msimamo wa rais kuliko kuzua taharuki kwenye jamii watu wa ulaya wenyewe walikuja kujifunza kwetu kuikubali Corona na kuishi nayo saizi wana kampeni ya corona the new normal so hakuna haja ya kuzua taharuki corona itakuwepo kama TB na UKIMWI haitatumaliza ila wale wazembe watakufa
ashanipata mara mbili nimechomoka yani mkuu unataka kuchukua tahadhari serikali ikuambie umekua mbugila kiasi ganiNatamani huyu mdudu akutembelee...
Ishakupata mara mbili na hapo hapo umeanza na phrase kuwa Tanzania haina corona! Pathetic!ashanipata mara mbili nimechomoka yani mkuu unataka kuchukua tahadhari serikali ikuambie umekua mbugila kiasi gani
Hakika wewe ni screwball kama huyo unayemuunga mkonoAkwende zake Tanzania haina corona kwani kabla ya Corona watu walikua hawafi tuacheni uzwazwa mi napenda sana msimamo wa rais kuliko kuzua taharuki kwenye jamii watu wa ulaya wenyewe walikuja kujifunza kwetu kuikubali Corona na kuishi nayo saizi wana kampeni ya corona the new normal so hakuna haja ya kuzua taharuki corona itakuwepo kama TB na UKIMWI haitatumaliza ila wale wazembe watakufa.
Mbona kisha mtembelea huoni alivoandika kama mwehuNatamani huyu mdudu akutembelee...
mkuu kaa usichukue taadhari subili kauli ya serikali ha ha ha ha ha ha mwafaaaaIshakupata mara mbili na hapo hapo umeanza na phrase kuwa Tanzania haina corona! Pathetic!
mkuu kaa ivyo ivyo subiri kauli ya serikaliHakika wewe ni screwball kama huyo unayemuunga mkono
Wasomi wenye vyeti halisi huwa wako transparent sana ila wale wababaishaji ndiyo kama huyo anayepinga, tuwaunge mkono wasomi wanaojitambuaMabibi na mabwana siyo siri kuwa kama taifa na kama wanadamu wenye kutamani kuishi, tunapita katika kipindi kigumu sana...
Hivi mnataka serikali ifanye nini ili muone inapambana na hili gonjwa?
Hamueleweki kabisa mnachohitaji!