Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya Redio TBC1 ya saa mbili usiku huu(kwa saa za Afrika Mashariki), Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda imefuta leseni zote za waganga wa jadi. Hii ni katika vita dhidi ya mauaji ya walemavu wa ngozi(albino) ambayo imepamba moto.
Suala la kuangalia hapa ni je serikali inamamlaka ya kuweza kufuta hizo leseni? Je waganga wa jadi wanaweza kwenda kupinga amri hii ya serkali ukichukulia kama jambo hili laweza kuwa limefanyika zaidi 'sentimentally' Kuliko kuangalia sheria inasemaje.
Suala la kuangalia hapa ni je serikali inamamlaka ya kuweza kufuta hizo leseni? Je waganga wa jadi wanaweza kwenda kupinga amri hii ya serkali ukichukulia kama jambo hili laweza kuwa limefanyika zaidi 'sentimentally' Kuliko kuangalia sheria inasemaje.
THE TRADITIONAL AND ALTERNATIVE MEDICINES ACT, 2002-23
Section 55 (1) (2): Minister May Make Regulations
The Minister may:
(a) regulate the practice of traditional and alternative health;
(m) prescribing qualifications, which shall be recognized as entitling the holder to registration or enrolment under this Act;
( o ) prescribing anything which, in the opinion of the Minister, is incidental or conducive to the exercise of the functions and powers of the Council, the Committee or Minister as provided for under this Act.
Kwanza labda tukubaliane, hatujui kilichosemwa na serikali hapa. Inawezekana wanafuta hizi leseni ili kutunga taratibu mpya zitakazoweka wazi mipaka ya nani mganga nani mwanga, na nani Yekhe Yahya, na nani kigagula, nani mwana mazingaombwe, nani kigagula. Hakuna anaejua kinachoendelea, (hatuna press, hili linajulikana).
Lakini kuhusu nguvu ya serikali kufinyangafinyanga bila kuwa na idhini ya bunge ni kwamba sheria za Tanzania zimeandikwa kijanja janja sana, zinaipa serikali nguvu ya kuzibadilisha, kutia chumvi, kuzifuta bila kuogopa mahakama wala bunge. Angalia hapa:
Kwa mtaji huo, kwa silaha ya sheria hii, waziri husika anaesimamia hii "council" na "commitee" ya kuandikisha waganga ana maguvu ya kufuta na kuchokonoachonoa sheria anavyotaka kwa kisingizio cha ku-regulate kazi za hiki chombo.
Kibaya ni kwamba hakuna wananchi wanaoenda mahakamani kupinga misapplications za sheria za nchi. Kwamba haki ya kutangua na kutunga sheria hawezi kupewa waziri kwa mlango wa uani wa regulation. Hili jambo Marehemu Lugakingira alilia nalo sana, yani serikali ikisema imesema, imetoka.
Kama ni kweli SAFI SANAAA
Na tena serikali iongezee kifungu hapo atakayeonekana anaenda sijuwi kwa mganga Apigwe mijiledi na kifungo juu.
Kama ni kweli SAFI SANAAA
Na tena serikali iongezee kifungu hapo atakayeonekana anaenda sijuwi kwa mganga Apigwe mijiledi na kifungo juu.
- Kama ni kweli hapa serikali itakuwa on the otherside of the law, kwa sababu nia na madhumuni ya kuwepo kwa sheria in the first place pamoja na mengi mengine ilikuwa ni kuepukana na hizi generalizations, yaani kwa mfano majambazi walipozidi wakati fulani hapa bongo, sasa dawa ni kuwafukuza polisi wote maana wengi wanashirkiana na majambazi? That is nonesense!
- Serikali inatakiwa kuwakamata waganga wanaojihusisha na Albino na inaweza kuwakamata kwa kuwatuma makachero wake kwa waganga hao, lakini kuwanyima leseni wote wka sababu ya isolated ishus za waganga wachache sio haki kabisaa, hapa serikali inajaribu ku-ride on short term popular political ishu, badala ya kukamata mafisadi wote ambao ushidi upo wazi sasa wao wanataka kuonea wanyonge tu mpaka lini?
..........................Sheria...............sheria............sheria........ imetoka.