Elections 2010 Vita dhidi ya Ufisadi bado pevu!!

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,161
Reaction score
1,476
Watanzania wenzangu,

Vita vya ufisadi mbado vibichi kabisa, nasema hivyo baada ya matokeo ya Uchaguzi yanaonyesha wale watuhumiwa ambao walihusishwa na tuhuma za Richmoond, Rada, Kagoda, EPA nk wamerudi katika chombo kikubwa kabisa cha kutunga sheria nchini kwa ushindi wa vishindo.

1. Rostam Aziz - Igunga
2. Andrew Chenge - Bariadi
3. Edward Lowassa - Moduli.

Nasema hivyo sababu hawa jama wana nguvu sana ndani ya CCM na katika serikali itakayoundwa kwa ujumla, kwa hiyo watanzania wenzangu tushangilie ushindi wa CHADEMA ila tujue tuna kazi kubwa sana kabla ya 2015.
 
1. Rostam Aziz - Igunga
2. Andrew Chenge - Bariadi
3. Edward Lowassa - Moduli.

Tufanye nini baada ya hapa......
hilo ndo muhini kwasasa.....
 

Mvunja nchi ni mwananchi.
Watanzania wenzetu kwenye hayo majimbo wanayomchagua hawajui kuwa hao watu ni Mafisadi. Hii ni mbaya sana adui yetu mkubwa ni wale wanao wachagua PERIOD!

Njimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…