akishasogezwa zaidi huko anakopelekwa, nguvu ya kubana shingo itakwisha na ushindi utasalia kwa mmezaji. inahamasisha na kuchochea ari ya juhudi kufia vitani ukioambana bila kujali ugumu wa ushindi/uhakika wa tunachokipigania lkn masikini bwana chura keshazidiwa maana nusu ya safari imeshamuelemea, kazibwa pua, macho, mdomo. kabemendwa kiwiliwili chote japo kajitutumua kutanua miguu lkn yuko dhofirihali