vita hii kati ya A na B ni nani ataibika mshindi...??

mackie

Senior Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
141
Reaction score
197
toa maoni yako juu ya sakata linaloendelea kati ya ndgu hawa wawili.... :::je nini hatima yake ...tupia jibu hapo ni nan ataibuka kuwa gangweee??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
akishasogezwa zaidi huko anakopelekwa, nguvu ya kubana shingo itakwisha na ushindi utasalia kwa mmezaji. inahamasisha na kuchochea ari ya juhudi kufia vitani ukioambana bila kujali ugumu wa ushindi/uhakika wa tunachokipigania lkn masikini bwana chura keshazidiwa maana nusu ya safari imeshamuelemea, kazibwa pua, macho, mdomo. kabemendwa kiwiliwili chote japo kajitutumua kutanua miguu lkn yuko dhofirihali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…