Vita imeanza tena dhidi ya simba

Vita imeanza tena dhidi ya simba

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za mda huu wapenzi na mashabiki wa kandanda Tanzania na east Africa hongera kwa wawakilishi wetu kwa kufuzu kwa ushindi mnono kwenye Caf champions league weekend iliyoisha Tanzania kwanza.

Nilishawahi kusema kwamba vita dhidi ya simba ni kubwa sana ikiongozwa na waandishi wa habari na media mcharwa ambazo zinafanya kazi kwa maagizo au kuwekwa mfukoni na wenye mamlaka kwenye udhamini kwa upande wa pili ule aliopo takadini kwasababu zifuatazo:–

Baada ya kumalizika kwa mechi kati ya simba na nyasa big bullets badala watu wajikite kwenye ubora wa simba baada ya ushindi na tathmini ya mchezo ulivyokuwa maana hata kocha wa upande wa pili alikuwepo kwenye mtanange huo watu wameamua kueneza propaganda dhidi ya simba wakidai kwamba wachezaji wa nyasa big bullets wamefanyiwa hujma na simba baada ya kupokea kichapo cha goli mbili hapo jana

Swali la kujiuliza simba walienda kucheza ugenini na walipata ushindi wa goli mbili ugenini unajiuliza huko nako walifanyiwa hayo anayoyasema kocha wao wakati kila kitu kilikuwa chao lakini walifungwa goli mbili wakiwa huko huko kwao ambapo kila kitu kilikuwa chao na hata mwaka jana walimtumia abdi banda pamoja na gef lea kusambaza propaganda kama hizi dhidi ya simba sports club .

Yanga wameshinda kwa ushindi wa goli nyingi dhidi ya zalan hakuna mchambuzi hata mmoja aliyezungumzia mazingira magumu na safari ndefu yenye misuko suko mpaka zalan wanafika Tanzania ni kweli yanga ipo vizuri ila zalan sio kipimo cha ubora wao kimataifa wengine wameenda mbali kabisa wakisema simba,

wangecheza na zalan basi simba wangefungwa nyingi sana inawezekana ikawa kweli ila hili la wachambuzi kuwekwa mfukoni na GSM kukaa kimya kwenye suala la umafia wa mikataba yenye utata ya GSM pamoja na kukalia kimya mambo ya upande wao unaona kabisa kuna mtu nyuma ya haya yote ila mkubali mkatae simba na yanga ni maji na mafuta kimataifa.

NB:Mmecheza na wahadzabe wa sudan mnapiga kelele ila mwisho wenu ni dhidi ya al hilal.
 
Kocha wao alisema wachezaji wake walikuwa na dizziness na hajui kulifanyika nini.....food or what?
 
Fear of unknown, sidhani kama una akili timamu.

Mambo yenu na GSM inahusika vipi? Kuna siku itafikia ukishindwa kumkojoza mkeo (kama unaye, maana Kwa akili hizi hamna mwanamke huko radhi kuishi na kichaa) basi utamsingizia GSM.
 
Habari za mda huu wapenzi na mashabiki wa kandanda Tanzania na east Africa hongera kwa wawakilishi wetu kwa kufuzu kwa ushindi mnono kwenye Caf champions league weekend iliyoisha Tanzania kwanza.

Nilishawahi kusema kwamba vita dhidi ya simba ni kubwa sana ikiongozwa na waandishi wa habari na media mcharwa ambazo zinafanya kazi kwa maagizo au kuwekwa mfukoni na wenye mamlaka kwenye udhamini kwa upande wa pili ule aliopo takadini kwasababu zifuatazo:–

Baada ya kumalizika kwa mechi kati ya simba na nyasa big bullets badala watu wajikite kwenye ubora wa simba baada ya ushindi na tathmini ya mchezo ulivyokuwa maana hata kocha wa upande wa pili alikuwepo kwenye mtanange huo watu wameamua kueneza propaganda dhidi ya simba wakidai kwamba wachezaji wa nyasa big bullets wamefanyiwa hujma na simba baada ya kupokea kichapo cha goli mbili hapo jana

Swali la kujiuliza simba walienda kucheza ugenini na walipata ushindi wa goli mbili ugenini unajiuliza huko nako walifanyiwa hayo anayoyasema kocha wao wakati kila kitu kilikuwa chao lakini walifungwa goli mbili wakiwa huko huko kwao ambapo kila kitu kilikuwa chao na hata mwaka jana walimtumia abdi banda pamoja na gef lea kusambaza propaganda kama hizi dhidi ya simba sports club .

Yanga wameshinda kwa ushindi wa goli nyingi dhidi ya zalan hakuna mchambuzi hata mmoja aliyezungumzia mazingira magumu na safari ndefu yenye misuko suko mpaka zalan wanafika Tanzania ni kweli yanga ipo vizuri ila zalan sio kipimo cha ubora wao kimataifa wengine wameenda mbali kabisa wakisema simba,

wangecheza na zalan basi simba wangefungwa nyingi sana inawezekana ikawa kweli ila hili la wachambuzi kuwekwa mfukoni na GSM kukaa kimya kwenye suala la umafia wa mikataba yenye utata ya GSM pamoja na kukalia kimya mambo ya upande wao unaona kabisa kuna mtu nyuma ya haya yote ila mkubali mkatae simba na yanga ni maji na mafuta kimataifa.

NB:Mmecheza na wahadzabe wa sudan mnapiga kelele ila mwisho wenu ni dhidi ya al hilal.
pwilo utakuja kufa Kwa msongo wa mawazo. Usichukulie serious Sana haya mambo. Bakuhurumia Sana kwasababu najua unateseka sana.
 
Kocha wa Big bullet ndie aliyesama hayo sio mchambuzi yoyote, Mkumbuke Caf wameiweka Simba katika kipindi Cha uangalizi kutokana na matukio yaliyo lalamikiwa na klabu nyingi zichezapo Kwa Mkapa.
Itakua jambo la hatari kama malalamiko yake atayapeleka Kwa maaandishi kule CAF. Hio itapelekea Kwa Caf kusogea zaidi kwenye Mechi za Simba na ikigundulika kama ni kweli Simba itajikuta kwenye wakati mgumu.
Vile vile tukumbuke Simba imetoka kuadhibiwa Kwa kufanya vitendo vya kishirikina uwanjani Hadharani.
 
Huo ulozi huko SA mnaujua nyie utopolo ila CAF ule ulikua ni moto wa kuondoa baridi..mtajijua Simba ni timu ambayo CAF wanaijua kwa uwekezaji wake na si vingine
 
Back
Top Bottom