Vita imeanza tena dhidi ya simba

Hivi kuna team zinawafanyia fitna wapinzani wake kushinda waarabu walichukuliwa hatua gani licha ya watu kupeleka malalamiko hyo issue alianzisha manara na mwenzake gef lea kwa manufaa yao binafsi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Fear of unknown, sidhani kama una akili timamu.

Mambo yenu na GSM inahusika vipi? Kuna siku itafikia ukishindwa kumkojoza mkeo (kama unaye, maana Kwa akili hizi hamna mwanamke huko radhi kuishi na kichaa) basi utamsingizia GSM.
Kichaa ni manara na ana wake wawili na huku yeye ameolewa na hersi.
 
Na mwenyewe mliwafanyizia maana ninyi mabingwa kwenye hizi issue
Hahaa.. Yaani uje kufanyiwa kwako unajua panga liko wapi, switch ya taa 😂, unaweza kimbia hata giza, napinga hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…