BashiriOnline
Senior Member
- Nov 5, 2012
- 127
- 44
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....
2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama Jide,hapo ndio vumbi likaanza..
3.Kwa Maelezo ya walaka wa Jide,anasema kuwa,imefika mahari,hadu wasanii wenzake,wamepigwa mkwara kufanya hata Kolabo ya Music na Jide kwa kupigwa Mkwara na Luge kwamba ,ni marufuku msanii anaye milikiwa na Luge,kujihusisha na Jide Kimuziki..
4.Luge ameamua kumzibua Jide,hadi kwa wazamini,km Vodaom,Airtel nk,kutompa sapot Jide Kwa Lolote..
5.Baada ya Jide kutaka kuzindua Show kabambe ya kuazimisha Miaka 13 ya Yeye kuwa kwenye game,Luge naye ameamua kufanya yake kwa kumtumia FA,kwa muda ule ule na siku ileile kwa Lengo la Kumfunika Jide au kumpunguzia wateja..
6..Vita kama hii nani atashinda..Nakalibisha maoni kwa wadau wote,ila tuwe na busara ktk uchangiaji