KIMUKI Member Joined May 1, 2013 Posts 31 Reaction score 5 Jun 8, 2013 #41 Baraka Roman said: Thibitisha kauli yako Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... Unataka athibitishe nini kama hata Jide mwenyewe hadi leo hajakanusha,migogoro ya mapenzi inaletwa ijadiliwe ktk jamii
Baraka Roman said: Thibitisha kauli yako Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... Unataka athibitishe nini kama hata Jide mwenyewe hadi leo hajakanusha,migogoro ya mapenzi inaletwa ijadiliwe ktk jamii
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,296 Reaction score 3,398 Jun 8, 2013 #42 Wasanii inabidi waseme how and when wanadhulumiwa na clouds,ingawaje mkataa ya wengi mchawi!.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Jun 11, 2013 #43 KING COBRA said: Mungu ninaye mwamini mimi hawezi kushughulika na uchafu wa wasanii na usanii huu tunaoujua Click to expand... Uko sahihi kabisa.
KING COBRA said: Mungu ninaye mwamini mimi hawezi kushughulika na uchafu wa wasanii na usanii huu tunaoujua Click to expand... Uko sahihi kabisa.