Vita ndani ya mihimili ya Dola: Mbona hawa hawakuhojiwa?

Vita ndani ya mihimili ya Dola: Mbona hawa hawakuhojiwa?

Joined
Aug 12, 2021
Posts
64
Reaction score
117
Kuanzia jumapili tutashuhudia mengi, Ndugai anamtisha Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa wasipomdhibiti Gwajima, atahojiwa waziri mbele ya Kamati ya Maadili.

Ndugai, Waziri Wkuu aliudanganya umma kuwa Rais Magufuli haumwi kabisa na hana tatizo lolote tena aliyasema mbele ya waumini siku ya ijumaa baada ya swala ya Ijumaa.

Mbona hakuhojiwa?
 
Back
Top Bottom