bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Wasalaam.
Nimekaa chini na kutafakari ili kujua upi ni mchezo sahihi kwa wanaume wa kweli kati ya michezo yote iliyopatwa kubuniwa, wanaume wa kweli nikimaanisha wale marijali, wale wenye roho ngumu wasiojali majelele ya walimwengu bali maamuzi yao. Hakika vita a.k.a kuuana ndio mchezo wa kidume kweli kweli pasi na shaka.
Mpaka sasa wanaume washindi watetezi wamebaki wanaume kutoka Taifa la Israel katika huu mchezo Vita. Huku wanaume katika mataifa mengine tumegeuzwa kama mashabiki wenye makelele. Mimi naona sasa ni muda wa kuvalishwa sindiria na dera kabisa.
Wabongo huwa nawatazamaga na kuishia kucheka unakuta dume zima lina Bet tupesa kidogo na kulalamika sana pale anapopunwa. Wakati wanaume wenzio kutoka Israeli wanabet maisha yaani kupata vyote au kukosa vyote, kukosa hadi Mbunye!
Mwanaume mkae mkijua mchezo ni mmoja tuu wa vita, huu mchezo endapo utashinda hata kwa kiasi kidogo utakupatia kila kile moyo unahitaji.
Storm is comming wenye tupa anzeni kunoa visu na mapanga.